SHAIDI
JF-Expert Member
- Aug 23, 2014
- 291
- 141
Habari ya asubuhi.
wana jf naomba kwa yeyote anaefahamu kama kuna uwezekano wa kusoma degree ya chemical and processing engeering kutoka kwenye diploma ya clinical medicine (clinical officer) naomba anijuze.
Kwa sifa za o leval certificate na diploma ya clin medicine kama kuna uwezekano.
Natanguliza shukrani.