Dogo haiwezekani kabisa,CPE ni pure engineering na unatakiwa uwe na foundation nzur ya phy,chemistry and mathematics, so huwez kabisa kusoma bachelor yake
ni kozi gani anayoweza kusoma?
ni kozi gani anayoweza kusoma?
nilikuwa nawaza niondoke kwenye faculty za medicine ni course gani nzuri yenye tija hasa za pure sciance
Habari ya asubuhi,
wana jf naomba kwa yeyote anaefahamu kama kuna uwezekano wa kusoma degree ya chemical and processing engeering kutoka kwenye diploma ya clinical medicine (clinical officer) naomba anijuze. kwa sifa za o leval certificate na diploma ya clin medicine kama kuna uwezekano.
natanguliza shukrani.