josephjul40
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 218
- 40
Habari wana JF,
Naomba kuuliza je kuna kozi ya diploma ya computer engineering and it technologies?? Kama ndio naomba msaada ni chuo kipi hapa tz wanatoa kozi hii