naombeni wana jf mnijuze ipi kati ya course ya diploma in dental tech na diploma in clinical medicine ni nzuri kwa vigezo hivi
1)maslahi
2)ajira
3)uwezekano mkubwa wa kujiajir mwenyew kutokana na course husika
4)ipi ngumu
mr kidney soma vizur thread utaielewa hzo zote ni diploma level,au hujui kama kuna diploma ya dental?na pia specialist wa dental hata uyo clinical officer akisma MD,anaweza kua specialist wa dental,sijaongea uspecialist,hizo zote ni diploma leve