M Mkaruka Jr I New Member Joined Aug 11, 2014 Posts 2 Reaction score 0 May 3, 2015 #1 Jaman wanajamvi kuna mdogo wangu anasoma hiyo course. vipi hawa watu kweli wanaajiriwa serikalini?
tikitaka men JF-Expert Member Joined Sep 6, 2013 Posts 216 Reaction score 58 May 3, 2015 #2 bila shaka atapata tu,uyo akimaliza anaajiliwa kwa fani ya BWANA AFYA.