Lee Napoleon
JF-Expert Member
- Feb 1, 2013
- 896
- 566
jamany nisaidieni ipi mzury Nina certificate ya HR
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamany = jamani
Mzury = nzuri
Mengine utashauriwa barabara.
I like human resource management, its so good.
hahaha hr chet
mbona unancheka askali yang
kwa ushauri cku nyingine kama una hata mdogo wako akiwa kwenye level ndogo ya education namaanisha diploma na chet usisome au asisome hr.HR kwa maoni yangu level ndogo inabidi usome degree.
Angalao HR unaweza omba kazi private na Public Institutions lakini Public Admin inakubalika zaidi kwenye serikali,wakala au mashirika ya umma. Sekta binafsi sijaona wakitangaza.