Diploma in laboratory technology vs diploma in agriculture science

mchorazombie

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2013
Posts
282
Reaction score
114
asalam aleykum!
Bwana yesu asifiwe!


Wanajamvi naombeni mawazoyenu kutokana na uelewawenu dhidi ya hizo kozi hapo juu [laboratory technology na agriculture science]
je ni ipi nikisoma ina soko?


Natanguliza shukranizangu za dhati#

EID MUBARAKA!
 
Inategemaea umemaliza mwaka gan ,coz kuna namba kubwa ya wana kitaa wanahaso na ajira,co pray on allah best.
 
Kasome agriculture science, wakulima ni wengi na shughuli za matumizi ya ardhi ni for life. Hii inaweza kukusaidia pia kujiajiri katika kilimo kuliko hii ya laboratory Technology kwa sasa maabara hakuna na hata zilizopo hakuna vifaa ni majengo tu yamesimama na hakuwa wa kushughulika naye.
Uchaguzi ni wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…