Mwl Evarist Mchele
Member
- Jul 21, 2020
- 57
- 60
Wataalam tafadhari, saidieni hapo mdogo wangu amehitimu Diploma ya Medical Laboratory kule Ruaha, sasa je nimpeleke Degree au !!/maana yeye anasema haina utofauti sana labda asome degree ya kitu kingine tofauti.