Mwl Evarist Mchele
Member
- Jul 21, 2020
- 57
- 60
vipi market yake hiyo iko nzuri ? au asome tu kuweka heshima.Mwambie akasome food science kule Sua wanamuchukua
asante sana umenipa uwanja mpana wa kuzidadavua.. nizione kwa ndani zaidi.. kijana asije sema tulimnyima urithi wa kiafrika Elimu.Akasome Kati ya hizi
Bachelor Of Medical laboratory sciences in Microbiology and Immunology_MUHAS
Bachelor of Science in Microbiology_UDSM
Bachelor of Science in Molecular biology and Biotechnology_UDSM
Bachelor of Science in laboratory sciences and biotechnology_SUA!!
Au abaki asome Degree ya Lab General tu!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka hadi baas lolvipi market yake hiyo iko nzuri ? au asome tu kuweka heshima.
hehehe usicheke , watu skuiz wanasoma ilimradi tu waitwe ma Engineer.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka hadi baas lol