Raaj JF-Expert Member Joined Feb 10, 2013 Posts 205 Reaction score 29 Jan 13, 2015 #1 habari ndugu wana jf,nimemaliza mafunzo ya uuguzi na ukunga ngazi ya cheti na nimeajiriwa serikalini sasa naomba msaada wenu sababu nahitaji ku upgrade ila sina contact ya chuo chochote kizuri kinachotoa diploma intake ya mwezi wa 9 asanteni
habari ndugu wana jf,nimemaliza mafunzo ya uuguzi na ukunga ngazi ya cheti na nimeajiriwa serikalini sasa naomba msaada wenu sababu nahitaji ku upgrade ila sina contact ya chuo chochote kizuri kinachotoa diploma intake ya mwezi wa 9 asanteni
R rolla JF-Expert Member Joined Apr 20, 2013 Posts 2,270 Reaction score 1,207 Jan 13, 2015 #2 fungua 'google' andika: vyuo vya nursing tanzania. ndani ya dakika sufuri utapata jibu.
Victoire JF-Expert Member Joined Jul 4, 2008 Posts 24,386 Reaction score 57,588 Jan 13, 2015 #3 chuo cha nursing Kolandoto shinyanga,Nkinga,Bugando,Sumve,st johns,ifakara,Sengerema,Bukumbi na vingine kibao
chuo cha nursing Kolandoto shinyanga,Nkinga,Bugando,Sumve,st johns,ifakara,Sengerema,Bukumbi na vingine kibao