Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pleas kk naomba uniangalizie huyu kachaguliwa chuo gani cha afya anaitwa GEORGE .M.NYELLO au imail ni mhina.martin@yahoo.com so naomba unichekie mi si yaoni
kama ndio hiyo haujaconfirm badoPleas kk naomba uniangalizie huyu kachaguliwa chuo gani cha afya anaitwa GEORGE .M.NYELLO au imail ni mhina.martin@yahoo.com so naomba unichekie mi si yaoni
Mkuu mbona mi nimeingiza e.mail yake kimekuja chuo tofauti na ulichokiona wewe?
jamani je kama umesahau code ya mpesa unafanyaje pia naomba kujuzwa kuwa hcho chuo ni cha serikali au priveti,,,?? msaada wakuu
chuo ni private, km umesahau code za mpesa, weka email yako na password zako ulizotumia na nacte kufungulia/kuingilia kweny profile yako, mawasiliano ya hicho chuo ni 0777026923 au 0655026923 au 0222150162 unaweza kuwasiliana nao kwa ishu ya joining instructions na ishu zingine
da,basi itakuwa wameilok hebu jarbu ST8mn46j ndo hyo nilyofungulia acount so kama inakata basi nina muda sijaingia