Diploma in Pharmaceutical vs Diploma in Medicine

Raelish

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2013
Posts
489
Reaction score
162
Wadau kati ya kozi hizi mbili,kozi gani ni marketable na ni rahisi kuajiriwa/kujiajiri..
 
for me pharmacy is marketable&payable one as it gives you time to rest&do other bussnesses
 
Pharmacy IPO juu zaidi maana unaweza kujiajiri emediately ukilinhanisha name kozi nyingine
 
Pleas kk naomba uniangalizie huyu kachaguliwa chuo gani cha afya anaitwa GEORGE .M.NYELLO au imail ni mhina.martin@yahoo.com so naomba unichekie mi si yaoni

Jina lake kamili limekuja GEORGE MHANDO NYELLO, S1748/0060., amechaguliwa TECHNICIAN CERTIFICATE IN NURSING, chuo alichochaguliwa kinaitwa A3 INSTITUTE OF PROFESSIONAL STUDIES-ILALA,DSM. lakini bado hajaconfirm so kama unaweza confirm haraka kabla nafas hujanyang'anywa, kama huwezi nitumie CODE zako za M-PESA ulizotumiwa na NACTE nikuconfirmie
 
St.Augustine Muheza Institute of Health Sciences

GEORGE MHANDO NYELLO, bado hujaconfirm

Mkuu mbona mi nimeingiza e.mail yake kimekuja chuo tofauti na ulichokiona wewe?
 
Mkuu mbona mi nimeingiza e.mail yake kimekuja chuo tofauti na ulichokiona wewe?

hahahahaha mjin hapa, alafu ilala hamna chuo cha serikal au private cha nursing
 
hahahahaha mjin hapa, alafu ilala hamna chuo cha serikal au private cha nursing

acha bwn, ndo kimetoka hicho chuo hapo juu, kimeanza na A3.... teh teh teh teh., bt nacte wanakitambua hiki nimekiona kt website yao
 
jamani je kama umesahau code ya mpesa unafanyaje pia naomba kujuzwa kuwa hcho chuo ni cha serikali au priveti,,,?? msaada wakuu
 
jamani je kama umesahau code ya mpesa unafanyaje pia naomba kujuzwa kuwa hcho chuo ni cha serikali au priveti,,,?? msaada wakuu

chuo ni private, km umesahau code za mpesa, weka email yako na password zako ulizotumia na nacte kufungulia/kuingilia kweny profile yako, mawasiliano ya hicho chuo ni 0777026923 au 0655026923 au 0222150162 unaweza kuwasiliana nao kwa ishu ya joining instructions na ishu zingine
 
poa kk,password ni ST8mn46J, also mhina.martin@yahoo.com nichekie naomba
 
da,basi itakuwa wameilok hebu jarbu ST8mn46j ndo hyo nilyofungulia acount so kama inakata basi nina muda sijaingia
 
da,basi itakuwa wameilok hebu jarbu ST8mn46j ndo hyo nilyofungulia acount so kama inakata basi nina muda sijaingia

inakataa mkuu, bt chukua namba za chuo hapo juu wapigie uwaambie ili nafasi yako wasimpe mwingine, waambie wakutumie na joining instruction kbs
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…