K kaka miye Senior Member Joined Sep 25, 2011 Posts 172 Reaction score 42 May 11, 2012 #1 Jamani ningependa kujua kuwa ukisoma hii course unapanda daraja na kuwa sawa na mwenye diploma ya education yaani kulipwa mshahara huo wa diploma
Jamani ningependa kujua kuwa ukisoma hii course unapanda daraja na kuwa sawa na mwenye diploma ya education yaani kulipwa mshahara huo wa diploma
M Msafiri Kasian JF-Expert Member Joined Sep 9, 2011 Posts 2,133 Reaction score 661 May 11, 2012 #2 Hii course ipo chuo gani? Mi ninachojua ni kwamba,waalimu wa msingi wanakuwa wamesoma Certificate of Education. Sasa hii ya Diploma in Primary Education siielewi!
Hii course ipo chuo gani? Mi ninachojua ni kwamba,waalimu wa msingi wanakuwa wamesoma Certificate of Education. Sasa hii ya Diploma in Primary Education siielewi!