Chuo kinachotoa Certificate na Diploma ya Elimu Maalumu ni chuo Cha Patandi tu kilichopo Arusha. Wasiliana nao wakupe maelekezo kwa sababu hua sifa na vigezo vinabadilika.
Simu ya Mkuu wa Chuo 0767-275920 / 0716-767380
Simu ya Msajili 0689 517171/ 0752355526
Simu ya Mtaaluma 0755-640517/0624-130402