Diploma na certficates afya sasa kuombwa kupitia CAS

Diplomat Niwe

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2014
Posts
231
Reaction score
215
Wakuu naona tiyar CAS ndo wameanzisha system ya kuomba nafas hizo kupitia wizara na NACTE na sio chuon tena kama ilvyokuwa kwa vyuo binafsi,application deadlines ni 30 may 2014
 
Wakuu naona tiyar CAS ndo wameanzisha system ya kuomba nafas hizo kupitia wizara na NACTE na sio chuon tena kama ilvyokuwa kwa vyuo binafsi,application deadlines ni 30 may 2014

Samahan mm kunakitu nashindwa kuelewa inamaana hata kama unataka ku apply vyuo vya afya vya binafsi ni lazima ufanye maombi NACTE kupitia central admssion system? {CAS} naomba kujuzwa kwa anaefahamu tafadhali
 
Jamani eti nimesikia kwamba wanatoa mikopo kama ukichaguliwa,hili lipoje wakuu naomba ufafanuzi.
 
Wakuu naona tiyar CAS ndo wameanzisha system ya kuomba nafas hizo kupitia wizara na NACTE na sio chuon tena kama ilvyokuwa kwa vyuo binafsi,application deadlines ni 30 may 2014

unajua maana ya CAS kweli? huo ni mfumo wa udahili...,so may be NACTE wameanza kuutumia for diploma na certificate s.....but kuhusu degree umeanza mda kidogo.
 
Jaman naomba msaada kwa anayefahamu web znazohusiana na application ya afya please!Maana huku nlpo hudma ya net inasumbua sana!So naomba msaada wenu please please.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…