Napenda kuuliza kama kweli wizara ya elimu imetoa fursa ya pili kwa wale ambao hawakuchaguliwa ktk level ya Stashahada (vyuo vya ualimu) kufanya tena application.
Ni msaada namfanyia kijana mmoja. He seems to be confused. Hakufanya application tcu kwani hakuwa na imani na credits zake. So his first and last hope was ttc.