Diploma wa ngapi tumepata mkopo.

Diploma wa ngapi tumepata mkopo.

Kweli mkuu,mbona kuna tetesi kwamba watu wa diploma mkopo bado,halafu wewe unasema umepata mkopo,acha kuzingua mkuu,kama vp mkuu naomba unichekie na mimi S0801/0112/2009.plz help me
 
Diploma mkopo mtausikia kwenye taarifa ya habari tu.
 
Usiwakatishe wenzio tamaa perry. Mungu yupo atatupigania.
 
siwezi kufurahia matatzo ya mwenzangu!ila huo ndo ukwel ambao diploma holder wengi wasingependa kuuckia mkuu.

thibitisha hizo taarifa tafadhali. Wengi tumevunjika moyo
 
The student with Index number'S0801.0112.2009'did not secure a higher education loan for 2013/14 academic year.
 
tatizo ni priority course au siyo, watu wa priority course mbona wamepata
 
Back
Top Bottom