N nyota poa Senior Member Joined Aug 25, 2013 Posts 152 Reaction score 7 Sep 28, 2013 #1 Jamani mtu ambaye ni diploma holder nani amepata mkopo
N nyota poa Senior Member Joined Aug 25, 2013 Posts 152 Reaction score 7 Sep 28, 2013 Thread starter #2 Kilio 2
J Jackson Barnabas Member Joined Jun 22, 2013 Posts 61 Reaction score 3 Sep 28, 2013 #3 Mimi hapa nimekula 100%.
N nyota poa Senior Member Joined Aug 25, 2013 Posts 152 Reaction score 7 Sep 28, 2013 Thread starter #4 Kweli mkuu,mbona kuna tetesi kwamba watu wa diploma mkopo bado,halafu wewe unasema umepata mkopo,acha kuzingua mkuu,kama vp mkuu naomba unichekie na mimi S0801/0112/2009.plz help me
Kweli mkuu,mbona kuna tetesi kwamba watu wa diploma mkopo bado,halafu wewe unasema umepata mkopo,acha kuzingua mkuu,kama vp mkuu naomba unichekie na mimi S0801/0112/2009.plz help me
Perry JF-Expert Member Joined Feb 24, 2011 Posts 10,058 Reaction score 2,195 Sep 28, 2013 #5 Diploma mkopo mtausikia kwenye taarifa ya habari tu.
m.agape Senior Member Joined Dec 7, 2012 Posts 148 Reaction score 92 Sep 28, 2013 #6 Usiwakatishe wenzio tamaa perry. Mungu yupo atatupigania.
C chitanga Member Joined Jun 9, 2013 Posts 18 Reaction score 1 Sep 28, 2013 #7 Perry said: Diploma mkopo mtausikia kwenye taarifa ya habari tu. Click to expand... umefurahia wenzako kukosa?
Perry said: Diploma mkopo mtausikia kwenye taarifa ya habari tu. Click to expand... umefurahia wenzako kukosa?
Perry JF-Expert Member Joined Feb 24, 2011 Posts 10,058 Reaction score 2,195 Sep 28, 2013 #8 chitanga said: umefurahia wenzako kukosa? Click to expand... siwezi kufurahia matatzo ya mwenzangu!ila huo ndo ukwel ambao diploma holder wengi wasingependa kuuckia mkuu.
chitanga said: umefurahia wenzako kukosa? Click to expand... siwezi kufurahia matatzo ya mwenzangu!ila huo ndo ukwel ambao diploma holder wengi wasingependa kuuckia mkuu.
m.agape Senior Member Joined Dec 7, 2012 Posts 148 Reaction score 92 Sep 28, 2013 #9 Perry said: siwezi kufurahia matatzo ya mwenzangu!ila huo ndo ukwel ambao diploma holder wengi wasingependa kuuckia mkuu. Click to expand... thibitisha hizo taarifa tafadhali. Wengi tumevunjika moyo
Perry said: siwezi kufurahia matatzo ya mwenzangu!ila huo ndo ukwel ambao diploma holder wengi wasingependa kuuckia mkuu. Click to expand... thibitisha hizo taarifa tafadhali. Wengi tumevunjika moyo
J Jackson Barnabas Member Joined Jun 22, 2013 Posts 61 Reaction score 3 Sep 28, 2013 #10 The student with Index number'S0801.0112.2009'did not secure a higher education loan for 2013/14 academic year.
The student with Index number'S0801.0112.2009'did not secure a higher education loan for 2013/14 academic year.
R Roman Matau Member Joined Sep 13, 2013 Posts 9 Reaction score 0 Sep 28, 2013 #12 nyota poa said: Jamani mtu ambaye ni diploma holder nani amepata mkopo Click to expand... Diploma mkopo upo 2mepata
nyota poa said: Jamani mtu ambaye ni diploma holder nani amepata mkopo Click to expand... Diploma mkopo upo 2mepata
J Jack Beur JF-Expert Member Joined Feb 26, 2010 Posts 222 Reaction score 246 Sep 28, 2013 #13 tatizo ni priority course au siyo, watu wa priority course mbona wamepata