Diploma ya clinical officer vs degree ya education

[QUOTE said:
Shabby kng;6753920]kwel aisee we umenena achana na wengne kaz kuponda uskute ni waalimu ndo maana wanadis
[/QUOTE]

Umewastukia eeh alafu hawachelewi kuja na threads za eti mishahara ya walimu imeongezeka hadi laki nane kwa graduate,mi huwa nachekaga tu
 
Aisee mi ndio maana naipenda jf napata maujanja ya kutosha humu mmnh haya kaz kwenu wakubwa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…