Diploma ya Geology

Diploma ya Geology

Engager

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2011
Posts
1,522
Reaction score
3,255
Nna miaka 21, nimehitim form six nikatoka na div III.14, nataka nikasome diploma ya geology. Ushauri jaman, nifanye hivyo au nihangaikie degree? (geology). Vipi soko la ajira kwa diploma holders ya geology compared to degree holders?
 
Nashauri,ujaribu kutafuta degree na sio diploma lakini kama unawasiwasi na uwezo wako diploma itafaa, lakini ukipata degree ni bora zaidi,cha muhimu ni kupata na sio soko la kitu ukiwa na kitu kizuri kitajiunza.tafuta chuo kwanza mapambano ya soko baadaye.
Cha muhimu ni nia ya kufanya na uwezo wa kupata.
 
Back
Top Bottom