Nashauri,ujaribu kutafuta degree na sio diploma lakini kama unawasiwasi na uwezo wako diploma itafaa, lakini ukipata degree ni bora zaidi,cha muhimu ni kupata na sio soko la kitu ukiwa na kitu kizuri kitajiunza.tafuta chuo kwanza mapambano ya soko baadaye.
Cha muhimu ni nia ya kufanya na uwezo wa kupata.