Diploma ya IT, Dereva, Graphic Designer, Data Officer(Entry)

Diploma ya IT, Dereva, Graphic Designer, Data Officer(Entry)

CFX

Member
Joined
May 14, 2019
Posts
38
Reaction score
37
Nina Ordinary Diploma ya Information Technology nina Ujuzi sehem zifuatazo :-
1. Graphics Designing and Printing
2. Data Entry
3. Class D license ya Magari (Manual na Automatic transmission)
4. Sales and Marketing, kuongoza Team ya Marketing

NB: Ninafundishika Kama ni kazi mpya na mifumo mipya

Mawasiliano: 0627225627
Anuani ya makazi: Dar Es Salaam
Email: nyamkungarashid@gmail.com
 
Mkuu for advice tuu...
Don't mention many careers like that..

Ni bora kila moja ukatengezea uzi wake...
Nasema haya kwa maana mkuu tena nzuri tuuu
 
Una fani nyingi sana, huwezi kukosa cha kufanya, watakuja!!
 
Back
Top Bottom