W Waambi JF-Expert Member Joined Dec 4, 2012 Posts 737 Reaction score 81 Mar 8, 2014 #1 Wadau ni vyuo gani vya kuaminika vinatoa diploma ya journalism miaka.2? Kwa nn UDSM hawana programu hiyo?
Wadau ni vyuo gani vya kuaminika vinatoa diploma ya journalism miaka.2? Kwa nn UDSM hawana programu hiyo?
B beparimkuu Member Joined Feb 25, 2014 Posts 17 Reaction score 0 Mar 8, 2014 #2 Wasubir kidogo wanakuja
M mbontafo Member Joined Feb 24, 2014 Posts 87 Reaction score 40 Mar 10, 2014 #3 umeshasema diploma kuna haja ya kuuliza kwa nn udsm hawatoi.unahitaji chuo cha diplo ama sababu za kutokuwapo udsm?
umeshasema diploma kuna haja ya kuuliza kwa nn udsm hawatoi.unahitaji chuo cha diplo ama sababu za kutokuwapo udsm?