Shabrahman Member Joined Apr 17, 2014 Posts 42 Reaction score 3 Jun 8, 2014 #1 Habari zenu wana JF. samahani naomba kuuliza eti kuna uwezekano wa kupata kazi ukiwa na diploma ya Taxation na ni field zipi waweza fanya kazi kwa course hiyo..
Habari zenu wana JF. samahani naomba kuuliza eti kuna uwezekano wa kupata kazi ukiwa na diploma ya Taxation na ni field zipi waweza fanya kazi kwa course hiyo..