Diploma ya Ujasiriamali

Diploma ya Ujasiriamali

Ngasea

Member
Joined
Apr 5, 2013
Posts
21
Reaction score
2
Waduu naomba kuuliza kama kuna chuo kinatoa Diploma ya ujasirimali. Chuo kiwe Dar es Salaam, na kinachotoa masomo hayo jioni
 
Ninavyo Jua ni kwamba hakuna Chuo kinacho funisha Ujasirimali bali kinacho fundishwa ni Business skills kama vile Marketing, Business palaning, Marketing palaning, Finacila plan, Customer care,sales, na kazalika, Ila Ujasirimali kama Ujasirimali haufunishwi Mahali popote pale Duniani na ni ngumu sana kufundishwa hii ni kutokana na ukweli kwamba Entrepreners are Born and not Made, Hauhitaji elimu yoyote ile ile ili kuwa entrpreners
 
Back
Top Bottom