Ninavyo Jua ni kwamba hakuna Chuo kinacho funisha Ujasirimali bali kinacho fundishwa ni Business skills kama vile Marketing, Business palaning, Marketing palaning, Finacila plan, Customer care,sales, na kazalika, Ila Ujasirimali kama Ujasirimali haufunishwi Mahali popote pale Duniani na ni ngumu sana kufundishwa hii ni kutokana na ukweli kwamba Entrepreners are Born and not Made, Hauhitaji elimu yoyote ile ile ili kuwa entrpreners