Matukio wa wawekezaji wa sekta ya usafiri na kugavi, malori yao kukwama DR Congo yatamalizwa lini? Au diplomasia yetu ya kiuchumi ni kwa ajili ya nchi za mbali kama China, India, Mashariki ya kati na wala siyo na majirani zetu.
17 October 2023
MALORI ZAIDI YA 200 YAKWAMA NCHINI CONGO DRC KWA SIKU 40, WAMILIKI WACHARUKA, WAIOMBA SERIKALI YA TANZANIA KUINGILIA KATI
Matukio wa wawekezaji wa sekta ya usafiri na kugavi, malori yao kukwama DR Congo yatamalizwa lini? Au diplomasia yetu ya kiuchumi ni kwa ajili ya nchi za mbali kama China, India, Mashariki ya kati na wala siyo na majirani zetu...
Muonekano wa operasheni ya bandari ya Dar es Salaam unakupa picha ikiwa diplomasia ya kiuchumi na nchi jirani zetu ikifeli inaweza kuzuia mizigo pia mapato kwa bandari ya Dar es Salaam
View: https://m.youtube.com/watch?v=33YoGgmXSc0
Tujiulize malori toka Durban South Africa kwenda Lubumbashi, Kolwezi n.k DR Congo hayapati kashikashi hizi zipi malori kutoka Tanzania yapate changamoto