Diplomatic Cars

Diplomatic Cars

abaa4all

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2013
Posts
313
Reaction score
291
Habari Wanajamvi,

Naomba kufahamu magari ya heshima ambayo ukiendesha unaonekana ni diplomats au mtu wa heshima.

NB: Kuna gari ukiendesha tu unaonekana muhuni
 
Habari wana jamvi.
Naomba kufahamu magari ya heshima ambayo ukiendesha unaonekana ni diplomats au mtu wa heshima.

Nb:kuna gari ukiendesha tu unaonekana muhuni
Kutaka kuonekana diplomat wakati sio diplomat ni changamoto.

Ukiwa diplomat huhitaji muonekano.

Plate number utapata diplomatic.

Heshima kwenye gari inategemea gari unaendesha wapi.

Gari moja kwenye mazingira tofauti linakuwa na heshima tofauti pia.
 
Au hili lipo tu Nigeria bongo halipo

Andaa 300 Million naira
land-rover-range-rover-p400-se-lwb-2022-05-black-exterior-rear-angle-suv-scaled.jpg
 
Kutaka kuonekana diplomat wakati sio diplomat ni changamoto.

Ukiwa diplomat huhitaji muonekano.

Plate number utapata diplomatic.

Heshima kwenye gari inategemea gari unaendesha wapi.

Gari moja kwenye mazingira tofauti linakuwa na heshima tofauti pia.
Umemjibu kisomi,huku nilipo saloon car zote huitwa taxi,hiyo crown yako unayoringia dar huku ni taxi
 
Back
Top Bottom