State Propaganda
JF-Expert Member
- Apr 25, 2024
- 542
- 1,286
:
Viongozi wa Marekani na Ulaya wamekubaliana kwamba Ukraine itahitaji kuachilia baadhi ya maeneoya ardhi yake ili kumaliza vita na Urusi, hii ni kulingana na taarifa ya gazeti la The Washington Post.
Chanzo hicho kinasema kwamba maafisa wa Marekani wanadhani kwamba, katika miezi michache ijayo, Ukraine itahitaji kuanza mazungumzo ya ano na Urusi ili kumaliza mzozo huo.
Gazeti hilo pia linasema kwamba serikali ya Biden inajiandaa na uwezekano mkubwa wa utawala mpya wa Donald Trump amabo unaweza kusitisha misaada ya Marekani kwa Ukraine pale tu atakaporudi madarakani.
Mashaka hayo yanaulazimu utawala wa sasa wa Marekani na washirika wake wa NATO kuharakisha kuisaidia Ukraine kabla ya Donald Trump ajarudi ikulu White House.
:
:
U.S. and European leaders have agreed that Ukraine will need to give up some land to end the war with Russia, according to The Washington Post.
Sources say U.S. officials believe that, in a few months, Ukraine will have to start talking with Russia to make peace.
The newspaper also says that President Biden's team is preparing for the possibility that Donald Trump could stop U.S. aid to Ukraine if he returns to office.
Because of this, the current U.S. administration and its NATO allies are working hard to support Ukraine before Trump possibly comes back to the White House.