Kwa Katiba hii mbovu na mifumo mibovu, hiyo dira inatengenezwa vp!!Hawa watafuna kodi za wananchi pasipo huruma sina hakiki kama wana nia ya dhati kuwakwamua wananchi katika hili tope tutaona vimbwanga via kila rangi na tume zisizo kusa na kikomo wakati pa kuanzia papo wazi kabisa lakini hawataki wanataka kupiga mafungu upya tena. Hakika wananchi mpaka waamke kwenye huu usingizi wa pono nchi itakuwa imetafunwa vya kutosha.
Naona kiini macho tu hapo Mkumbo na kundi lake wanaenda kupiga poshoKwa Katiba hii mbovu na mifumo mibovu, hiyo dira inatengenezwa vp!!
Dogo hujui kutofautisha kati ya Katiba na Dira ya Taifa ya Maendeleo? Kweli tuna wajuaji njaa JF!Salaam, Shalom!
Tunaambiwa tutoe maoni Ili kupata dira mpya ya Taifa Kwa miaka mingi ijayo,
Tusipoteze muda na pesa za walipa Kodi, Dira ya Taifa Inatakiwa iwemo ndani ya Katiba mpya,
Turudishe mezani Rasimu ya Tume ya Warioba Ile ambayo aliwasilisha mwanzoni tuanzie hapo kuongeza maoni mapya na kutengeneza Dira ya Taifa.
NB: Waliopotea msituni, hawawezi kutengeneza dira.
KATIBA mpya ni sasa kabla ya Uchaguzi wowote.
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿
Amen
We ndo huna ulijualo.Dogo hujui kutofautisha kati ya Katiba na Dira ya Taifa ya Maendeleo? Kweli tuna wajuaji njaa JF!
Hujui kitu wewe acha kujitutumua!We ndo huna ulijualo.
Kuandaa dira kabla ya Kupata kwanza KATIBA mpya ni sawa na kuvaa sox mpya ndani ya viatu vilivyotoboka😀
KATIBA mpya ndiyo dira kuu!!Hujui kitu wewe acha kujitutumua!
Niliishakushauri kama hujui jambo jiridhishe kwanza kuliko kuonesha uzuzu wako kwa watu. By the way, all the best.KATIBA mpya ndiyo dira kuu!!