Stephano Mgendanyi
JF-Expert Member
- May 16, 2020
- 2,833
- 1,301
Dira ya Taifa ya Nishati safi ya KUPIKIA 2033 inatoa mwelekeo Wa nchi wa kuhamia katika matumizi ya Nishati safi ya KUPIKIA.
Dira hii inatokana na hitaji la kuwa na Mpango Jumuishi Wa kitaifa katika kupambana na ongezeko la uharibifu Wa mazingira pamoja na athari za kiafya, kiuchumi na kijamii zinazotokana na matumizi ya Nishati zisizo safi za kupikia.
Maandalizi ya dira hii maelekezo mahususi ya Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Raisi Wa JMT aliyotoa katika Mjadala Wa Taifa Wa Nishati Safi ya KUPIKIA 2022, tarehe 01 Nov , 2022.
Lengo kuu la Dira ni kuhakikisha asilimia 80 ya Watanzania wanatumia Nishati safi ya KUPIKIA ifikapo Mwaka 2033.
Mh Mbunge Wa Viti Maalum Mkoa Wa Iringa, Rose Cyprian Tweve, tarehe 21 August 2022, amegawa majiko ya gesi Kwa niaba ya Mh Raisi na Waziri Wa Nishati Mh January Makamba, Kwa makundi mbali mbali Mkoani Iringa,
Shukrani za Pekee kwa kazi hii iliyotuka ya kulinda mazingira na kubadilisha maisha ya wananchi.
Ni muhimu sana kubadilika.
Imetolewa na Katibu Wa Mbunge VM Mkoa Iringa.