direct cost at TEKU

direct cost at TEKU

hv hk chuo kiko wap jaman mbona hata kwenye guidebook sjakiona..mi wa muhas jaman

Ulikuwa kiu ukaomba transfer ukaenda st john sasa ndo kusema hivyo vyuo vipo juu sana? Acha dharau za kipuuzi wakati bado hauna mbele wala nyuma
 
wadau wa jf mbona mnakwepa hoja ya msingi?nmeulza direct cost ya teku sh ngap?suala la chuo kibaya au kizuri haikuhusu!
 
jamani msaada hivi direct cost at TEKU ni sh ngapi?

Joining Instruction ya 1st year 2013/2014 inasema kama ifuatavyo;

Tuition fee 1,600,000/=

Examination fee 40,000/=

Caution Money 30,000/=

Identit Card 10,000/=

Student Union 15,000/=

TEKU Development Fund 20,000/=

Total 1,715,000/=

pia kuna registration fee 30,000/=
NOTE: Ni kwa 1st years tu. Kwa continous students jumla ni 1,655,000/=.
 
wadau wa jf mbona mnakwepa hoja ya msingi?nmeulza direct cost ya teku sh ngap?suala la chuo kibaya au kizuri haikuhusu!

nimekuwekea hapo juu , hao wajinga achana nao, elimu waliyoipata haijawakomboa. Karbu TEKU.
 
Na mimi nakuuliza wewe je unasoma muhas au st john?

nipo stjohn kaka... one of the only 40 best students enrolled to pursue b of pharmacy....afu tujirekebishe bhana yana mtu anatoa thread badala mmpe targeted answer mnaanzisha thread ndan ya thread sio fresh hivyo tubadilike
 
Back
Top Bottom