Total direct cost payable by student ni 77400.Hii inahusisha ID card fee,DARUSO fee,Medical examination fee,caution money na registration fee.Ila kuna vitu viwili bado sijajua utaratibu wake,ambavyo ni accomodation na kiasi cha tuition fee kinachopaswa kulipwa hasa kwa wale ambao hatuna 100% ya loan.Wadau wengine waongezee.