Director Kenny: Kijana aliyesimamisha safari za Diamond South

crankshaft

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2019
Posts
1,427
Reaction score
3,438
Kennedy sanga maarufu director Kenny moja ya video director wakubwa hapa east Afrika na director namba moja wa Diamond Platnumz
Kitaaluma ni fundi umeme.Alianza mambo ya video kama mmoja wa wasaidizi wa director hanscana.
Video ya kwanza kuifanya ilikuwa ni dede ambayo anasema alifanya bure na ndiyo iliyompa connection na WCB kwani mara baada ya Diamond kuiona aliipenda na kuamua kufanya naye kazi.
Last year alishinda tuzo ya afrimma kama best director in Africa kupitia wimbo wa tetema wa rayvanny na Diamond Platnumz.

Kuibuka kwake katika tasnia ya burudani nchini kumekuwa kama daudi kupewa ufalme yaani from no where to work with great artist in Africa anasema siri ya yote ni maombi.
Tofauti ya Diamond na media na wasanii mbalimbali inaonekana kumuathiri na yeye ndo maana amekuwa akifanya kazi nyingi za WCB tu licha ya kufanya vizuri nchini kwa sasa japo anasema anaweza kufanya kazi na msanii yeyote.

Pia maadui wa Diamond wamekuwa mstari wa mbele katika kukosoa na kutafuta makosa tu katika video zake kwani mti wenye matunda ndio ambao hupigwa mawe . ukweli ni kwamba hakuna kitu kipya na si kwamba director wengine hawatumii idea nyingine ila ile kufanya kazi na Diamond imemlennnnntea upinzani wa moja kwa mojakwa wasio mashabiki wa Diamond.

Pamoja na yote hayo,he keep growing up kwani amehusika katika highly watched music videos in East and central Africa kama vile hope remix,inama,sikomi,kwa ngaru , tetema,n.k
My take; keep working guy .we appreciate what you are doing Kenny

Sorry heading is"director Kenny: kijana aliyesimamisha safari za mondi south"
Nimejaribu badilisha imegoma
 
Good for him.. yule mndengereko.mwenye kiburi Adam Juma naona kimya kbs sasa
Mpe heshima yake Adam pamoja alikuwa na vifaa vya kawaida lkn alikuwa anatoa video kali ,director pekee aliyewafanya wanamziki wa kitanzania kushinda tuzo za kimataifa (Channel O Nature,Witness,Cpwaa) kupitia ubunifu wake.

Still mpaka sasa yupo vizuri kuliko Kenny,kaitizame video ya Mario Unanikosha,alafu fananisha na za madirector wengine.
 
Adam juma ndo kafiafia kabsa

Jamaa alikua anawatukana wasanii
Mpaka unawaonea huruma[emoji3][emoji3]
Sijui ubonge nyanya wake nao utakuwa umeisha ila kwa sasa AJ ni mtu mzima kwa muziki wa sasa wa vijana unataka vijana kwa vijana kwa mzee kama AJ anakuwa na mawazo au fikra tofauti ,mzee na kijana hawawezi endana
 
Reactions: amu
Sijui ubonge nyanya wake nao utakuwa umeisha ila kwa sasa AJ ni mtu mzima kwa muziki wa sasa wa vijana unataka vijana kwa vijana kwa mzee kama AJ anakuwa na mawazo au fikra tofauti ,mzee na kijana hawawezi endana

He not that old.. anaweza kuwa 40 or below that anaweza kwenda sawa na mabadiliko bila shida yoyote akiamua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…