Nimeichungulia kichupa ni faya kwa kweli.Hiyo video ya unanikosha nakwambia ni hatari hata c breezy, au lil wayne lazima asimame mbele ya kamera.. Nakuambia hakutakuja kuwa na video kali kama ile
Mkuu tupe nyepe nyepe...msanii gani alitukanwa live live,sisi wengine umbea tunapigia humu humu ukitukuta maofisini kama sio sisi.Adam juma ndo kafiafia kabsa
Jamaa alikua anawatukana wasanii
Mpaka unawaonea huruma[emoji3][emoji3]
Namba ya treni hii [emoji12][emoji12]
Dunia haipo hapa kumsubiri yeye tu.
Wa mifano yake tunao kina P Funk Majani, walikuwa wana jeuri ya kutukana wasanii na kuwazaba vibao.... sio kama hawana ubora ila leo nani anawakimbilia.?
Video ya Marioo - inatosha naona ni the best.. storyline, shots, colour ,character na vingine vingi ni epicMpe heshima yake Adam pamoja alikuwa na vifaa vya kawaida lkn alikuwa anatoa video kali ,director pekee aliyewafanya wanamziki wa kitanzania kushinda tuzo za kimataifa (Channel O Nature,Witness,Cpwaa) kupitia ubunifu wake.
Still mpaka sasa yupo vizuri kuliko Kenny,kaitizame video ya Mario Unanikosha,alafu fananisha na za madirector wengine.
Ndo maana nasema nafasi bado wanayo, wanachokifanya ni biashara kama ilivyo biashara nyingine inayohitaji kutafuta wateja wapya (kama wale wa zamani wote hawapo). Kwani producers wote wa zamani walikuwa na matatizo kama hayo ya kujiskia kulikopilitiliza, kutukana wasanii na kuwapiga makofi? Nadhani sio kweli, baadhi wamekosa ubunifu wa biashara yao kuvutia wateja wapya au kubaki na wale wa zamani.
Yaani kila anàyefanya kazi na Domo au kuwa karibu naye lazma ataengeneze brand ya maana
Si bodi gadi, mpiga picha, màvazi. Producer, dancer, dj, kinyozi, wambea wa insta, shemeji nk nk
Hawa directors asee.
Mimi katika video directors niliowakubali ni Nisher ila alikaa muda mfupi sana na nahisi kukaa chuga, kukimbiwa na weusi na hata ile kutokuwa na njaa pia ilichangia
Diamond ana nyota kali sana.. mpaka kusaga akaamua kuanzisha media na kumpa shea asilimia 45 ili tu aibebe media ipate wasikilizaji fasta. Na kafanikiwa hilo
Eti Kusaga alimpa, kinabo wewe!
FRESHMAN Diamondplatnumz ndio aliyemfuata kusaga na Diamond ndio founder ya wasafi media yeye akawekeza kwa asilimia 45 wakati kusaga akawekeza kwa asilimia 51 mmiliki kabisa Ni Diamond na ndio aliyetoa Hilo wazo la hiyo media wengine Ni wa wekezaji wenzake ndio maana mondi anatumia nguvu kubwa kuliko wengine ili Wasafi media iwe kubwa compare na wengineUnafikiri kusaga ama diamond nani kamfata mwenzake kumuomba washirikiane wagawane shea
Bila diamond unafikiri media ingepata wasikilizaji hiyo haraka haraka ama tungeijua?
nchakali Jamaa alichocomment hata akijuiEti Kusaga alimpa, kinabo wewe!
Unafikiri kusaga ama diamond nani kamfata mwenzake kumuomba washirikiane wagawane shea
Bila diamond unafikiri media ingepata wasikilizaji hiyo haraka haraka ama tungeijua?
Why commenting then!?How does this concern us?
Kila zama na mambo yake au umejisahaulisha!? Wako wapi producers Master J na P Funk!?Tatizo lake alikuwa Mshamba sana na akajisahau kuwa dunia inakimbia
Mj yupo na Pfunk yupo kama kawa..labda utoe mfano mwingineKila zama na mambo yake au umejisahaulisha!? Wako wapi producers Master J na P Funk!?
Yes nisher was good at it. Nilimkubali pia wakati huo.
Hawa directors asee.
Mimi katika video directors niliowakubali ni Nisher ila alikaa muda mfupi sana na nahisi kukaa chuga, kukimbiwa na weusi na hata ile kutokuwa na njaa pia ilichangia
Muhendisamu.