Kipangaspecial JF-Expert Member Joined Mar 30, 2020 Posts 20,778 Reaction score 28,722 Jun 15, 2020 #61 Mama Debora said: Kama Baba Debora. Wanafanana! Click to expand... Mzee baba unajifagilia
Eyce JF-Expert Member Joined Mar 16, 2016 Posts 7,185 Reaction score 24,330 Jun 15, 2020 #62 Mama Debora said: Nisher ndio alikua ana miliki Kallaghe Pictures? Click to expand... Hapana , kallaghe ilikuwa ni ya John kallaghe. Nisher hata brand yake ilikuwa ni hiyo hiyo na ametengwneza videos za weusi nyingi kama nje ya box na xo, listen ya belle 9
Mama Debora said: Nisher ndio alikua ana miliki Kallaghe Pictures? Click to expand... Hapana , kallaghe ilikuwa ni ya John kallaghe. Nisher hata brand yake ilikuwa ni hiyo hiyo na ametengwneza videos za weusi nyingi kama nje ya box na xo, listen ya belle 9