PICHA DIRECTOR NICK NA MAKAMU II WA RAIS WA ZANZIBAR.
Mwanahabari na muongozaji wa video Nickson Sawe maarufu kama Director Nick akiwa huko visiwani Zanzibar amekutana na kupiga picha ya pamoja na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla katika ukumbi wa Baraza la wawakilishi visiwani humo.
Itakuwa wameongelea namna ya kutengeneza video nzuri za kutangaza utalii wa Zanzibar maana video za msitu wa Jozani bado hazishawishi mtu kuja kutalii Zanzibar