Directors wa Music Videos wakali kutoka Tanzania kwa sasa

Directors wa Music Videos wakali kutoka Tanzania kwa sasa

Mtanzania Mkenya

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2016
Posts
238
Reaction score
387
1. Hanscana (Wanene Entertainment)
2. Msafiri (Kwetu Studios)
3. Nick Dizzo (E Media)
4. Pablo
5. Nisher (Nisher Entertainment)
6. Khalfan
7. Nicklass
8.Adam Juma (Visual Lab)
 
naunga hoja namba moja na mbil ..uzinduz wa majuz wa studio za wanene ni more than revolution kwenye tasnia ya sanaa befor that hanscana alikua tishio sana na sasa anaenda kua zaid ya tishio
 
Heading ilifaa iwe Directors wa Music videos zenye rangi nzuri kutoka Tanzania
Khalfan video zke mbovu nashangaa umemuweka juu ya Adam Juma
 
AJ
ni zaidi ya wote
sio wa kumuweka 8
AJ anashoot video tangu miaka hio
nyimbo za zamani kali zote director AJ na video ni kali mpaka sasa.
 
AJ
ni zaidi ya wote
sio wa kumuweka 8
AJ anashoot video tangu miaka hio
nyimbo za zamani kali zote director AJ na video ni kali mpaka sasa.
Uko sahihi kabisa Adam Juma na kalage ni wakongwe ambao wanashoot video vizuri kwasasa naona kama wamesimama kufanya hii kaz ndomana watu wanawachukulia poa kwa kenya kuna ogopa video nao wako vizuri sana!
 
wana shoot
AJ yupo
sema tatizo la wasanii
kufata mkumbo, wakiona flani kafanya basi wote
saivi wamehamia kwa hanscana
kama miaka ya nyuma walivohamia kwa nisha.. nisha saivi wamemtema sana!
lakini AJ ni wa siku zote
hachuji wala havuji...
video zake zile mpya za qchilla videokama pacha wangu ya rich
 
sjui mnaangalia ukongwe wa mtu au quality? maana kuna wakongwe wanashuti tangu 2000 hadi leo hakuna kichupa hata kimoja kilichorushwa MTV wala BET wala Trace TV vinaishia hapa hapa east africa aibu sana. kama mnaangalia sababu ya ukongwe sawa.
 
hapana Aj hafanyi fanyi tu anafanya kazi
tatizo hawajafanya kazi na watu wakubwa
piahawajajibrand kua wa kimataifa
hawana commection ya tv station kubwa...
lakini video zao quality nzuri... labda wakosee scene....
lakini naamini AJ ni dorector mzuri na anaenda na wakati
 
Back
Top Bottom