Mtanzania Mkenya
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 238
- 387
Uko sahihi kabisa Adam Juma na kalage ni wakongwe ambao wanashoot video vizuri kwasasa naona kama wamesimama kufanya hii kaz ndomana watu wanawachukulia poa kwa kenya kuna ogopa video nao wako vizuri sana!AJ
ni zaidi ya wote
sio wa kumuweka 8
AJ anashoot video tangu miaka hio
nyimbo za zamani kali zote director AJ na video ni kali mpaka sasa.
wana shootUko sahihi kabisa Adam Juma na kalage ni wakongwe ambao wanashoot video vizuri kwasasa naona kama wamesimama kufanya hii kaz ndomana watu wanawachukulia poa kwa kenya kuna ogopa video nao wako vizuri sana!
hapana Aj hafanyi fanyi tu anafanya kazisjui mnaangalia ukongwe wa mtu au quality? maana kuna wakongwe wanashuti tangu 2000 hadi leo hakuna kichupa hata kimoja kilichorushwa MTV wala BET wala Trace TV vinaishia hapa hapa east africa aibu sana. kama mnaangalia sababu ya ukongwe sawa.