steveachi
JF-Expert Member
- Nov 7, 2011
- 10,643
- 12,247
Wadau eeeh,hv mnaonaje kwenye mapendekezo ya Katiba yetu hii mpya tunayoitarajia,kwa nini kusiwe na dirisha dogo la uchaguzi hasa kwa Raisi ili kuwapa nafasi wananchi kupima kama wana Haja ya kuendelea kuwa nae au la kila baada ya miaka 3,mnasemaje GT???