The Humble Dreamer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 7,574
- 10,598
Wasubiri hadi 2025 muda kama huuMliohitimu 2020 msubili mwakan
Mpka ufingue ndo.mzik.network.chini
😄 😄 😄 😄 😄 Hiv una utani na watu?Inafunguka lakin hakuna kitu View attachment 1562268
Basi kuanzia kesho labda itakaa sawaaMbn inaniletea ivo blood
Basi kuanzia kesho labda itakaa sawaa
mkuu naattach certificates naambiwa zinwe katika pdf wakati tayari ni pdf. nimekwamia hapoSahv inafunguka ila kuna sehemu inashida pale kwenye kuchagua subject wameeka ya sayansi sana hakuna hata la art subject hahahahaa afu pia na kwenye kujaza details za secondary hawaja specific ukiweka index no ya 4m itagoma ukiwe details za six itagoma cjui netwok kwangu
Sehemu ya kuweka namba ya NIDA umeionamkuu naattach certificates naambiwa zinwe katika pdf wakati tayari ni pdf. nimekwamia hapo
Naona arts waliokumbukwa ni English tuSahv inafunguka ila kuna sehemu inashida pale kwenye kuchagua subject wameeka ya sayansi sana hakuna hata la art subject hahahahaa afu pia na kwenye kujaza details za secondary hawaja specific ukiweka index no ya 4m itagoma ukiwe details za six itagoma cjui netwok kwangu
Kwenye diploma daraja la Tatu B ndo GPA kuanzia ngap?Sehemu ya kuweka namba ya NIDA umeiona
Akili ya mbuMwaka jana zilitokea nafasi kama hizi. Mimi nilipangiwa kazi halmashauli ya Mpwapwa Dodoma kama mwalimu wa Physics & Mathematics. Bila kusahau kua mimi sijasoma ualimu ila kwa sifa kama walizosema hapa ilikuepo hiyari yakuamua kuwa mwalimu.
Kufupisha story, ualimu nilifanya siku 4 nikaacha (Siku niliyoenda kesho yake nikaondoka, baada ya wiki mbili nikaenda tena nikakaa siku tatu nikaondoka milele, jumla siku nne). D.E.O alitaka nimsujudie, sikukubali. Siku zote 4 nilizokua kituo cha kazi sikupatikana hewani maana laini zangu za voda na tigo kule hazishiki kabisa.
Kuna gari moja tu linalotoka kule kwenda mjini. Linaondoka saa tisa usiku. Ukilikosa hilo hakuna tena safari. Kwakifupi kupanga safari yakwenda mjini ni kupanga mkesha.
Jumapili hilo gari halisafiri. Kwahyo ukikesha usiku wa ijumaa kuamkia jumamosi, utasafiri ufike mjini saa tatu asubuhi na ili jumatatu uwe kazini itabidi jumamosi hiyohiyo saa saba mchana uwe kwenye gari hiyo hiyo maana huo ndo muda wakurudi. So una chini ya masaa manne kukamilisha kilichokupeleka mjini. Ila unasafiri kwa zaidi ya masaa 13 kwenda mjini.
Nimechanganya mengi hapo ila shortly, nafasi ni bahati nasibu (Ni uhakika kama una Physics & Mathematics). Mazingira ya kazi ni Magumu. Mshahara ndo ivo tena. Kada ya ualimu inadharaulika.
Niliambulia hela ya kujikimu.
Daraja la Tatu B ndo GPA ya ngap kwenye diploma?Akili ya mbu
Acha uongo sema mpwapwa sehemu gani mm nimesoma mpwapwa miaka hiyooo kulikuwa na changamoto ya waalim wa sayansi na usafiri na mazingira ya kazi yalikuwa magumu sehemu kama RUDI na sehemu chache sio leo acha kulisha watu matangoMwaka jana zilitokea nafasi kama hizi. Mimi nilipangiwa kazi halmashauli ya Mpwapwa Dodoma kama mwalimu wa Physics & Mathematics. Bila kusahau kua mimi sijasoma ualimu ila kwa sifa kama walizosema hapa ilikuepo hiyari yakuamua kuwa mwalimu.
Kufupisha story, ualimu nilifanya siku 4 nikaacha (Siku niliyoenda kesho yake nikaondoka, baada ya wiki mbili nikaenda tena nikakaa siku tatu nikaondoka milele, jumla siku nne). D.E.O alitaka nimsujudie, sikukubali. Siku zote 4 nilizokua kituo cha kazi sikupatikana hewani maana laini zangu za voda na tigo kule hazishiki kabisa.
Kuna gari moja tu linalotoka kule kwenda mjini. Linaondoka saa tisa usiku. Ukilikosa hilo hakuna tena safari. Kwakifupi kupanga safari yakwenda mjini ni kupanga mkesha.
Jumapili hilo gari halisafiri. Kwahyo ukikesha usiku wa ijumaa kuamkia jumamosi, utasafiri ufike mjini saa tatu asubuhi na ili jumatatu uwe kazini itabidi jumamosi hiyohiyo saa saba mchana uwe kwenye gari hiyo hiyo maana huo ndo muda wakurudi. So una chini ya masaa manne kukamilisha kilichokupeleka mjini. Ila unasafiri kwa zaidi ya masaa 13 kwenda mjini.
Nimechanganya mengi hapo ila shortly, nafasi ni bahati nasibu (Ni uhakika kama una Physics & Mathematics). Mazingira ya kazi ni Magumu. Mshahara ndo ivo tena. Kada ya ualimu inadharaulika.
Niliambulia hela ya kujikimu.
Hivi unaifahamu vizuri mipaka ya Halmashauli ya Mpwapwa? Kufika Rudi unaona umeimaliza Mpwapwa Kabisa.Acha uongo sema mpwapwa sehemu gani mm nimesoma mpwapwa miaka hiyooo kulikuwa na changamoto ya waalim wa sayansi na usafiri na mazingira ya kazi yalikuwa magumu sehemu kama RUDI na sehemu chache sio leo acha kulisha watu matango
Geography na kiswahili hamnaNaona arts waliokumbukwa ni English tu