Aisee2weeks
Naukishatuma c ndo basi tena.Aisee kwanini unasema leo [emoji24][emoji24]
Mi sipo kwenye mfumo ndy shidaAisee jaribu Mkuu ulete mrejesho.
Jaribu ku-edit ulete mrejeshNaukishatuma c ndo basi tena.
Yes ndy maana kuna uamuzi binafsiNaona watu ambao hawakusoma uwalimu wanatuma.
Shukrani mkuu2weeks
Kwann bro unashangaa?Aisee
Wanaposema Kuna nafasi mf.moja wanamaansha nn, Yan mwl wa masomo yako mmoja au mwl wa Somo lolote kwenye shule hyo?Hii ya kuchagua Mikoa na shule inakupa uhakika flani hivi kidogo
Nasikia huwezi delete applications ukiomba umeomb.
Masomo yako tu ndomana unanza kujaza mosomo ndo unachagua shuleWanaposema Kuna nafasi mf.moja wanamaansha nn, Yan mwl wa masomo yako mmoja au mwl wa Somo lolote kwenye shule hyo?
Ok shukrani mkuuMasomo yako tu ndomana unanza kujaza mosomo ndo unachagua shule
Sasa ukidelete ile mikoa pendwa si ishapoteaHiv huwez delete ukaweka upya
Mikoa iko vile vile haipotei..watu wanatumia tu nadharia kuelezea hilo.Sasa ukidelete ile mikoa pendwa si ishapotea
Mkuu kuchakata namba zote zile tachkua week mbili tu aisee...s itakua mitama mingi sana2weeks
Ivi physical education kwa University hapa Tanzania inatolewa Udsm peke yake?Siku ya kwanza kabla hawajaweka masomo ya arts,hii ndio ilikuwa orodha;
- Plumbing
- Radio and Servicing
- Surveying
- Textile and Dressmaking
- Welding and metal fabrication
- Workshop Technology
- Information and Computer studies
- Mechanical Draughting
- Motor vehicle Mechanics
- Painting and sign writing
- Physical Education
- Physics
- Plant and Equipment Maintenance
- Chinese Language
- Electrical Engineering Science
- Fitting and Turning
- Food and Nutrition
- Foundry and balacksmith
- Basic applied Mathematics
- Auto Electrics
- Basic Mathematics
- Biology
- Brickwork and Masonry
- Building Construction
- Chemistry
- Additional Mathematics
- Advanced Mathematics
- Agricultural Science
- Architectural Draughting
Ndio mkuu,ila vyuo vya Diploma nazani vitakuwa vingi kidogo.Ivi physical education kwa University hapa Tanzania inatolewa Udsm peke yake?