Dirisha la kutuma maombi ya Ajira za Ualimu lafunguliwa rasmi. Vigezo vyawekwa wazi, namba ya NIDA yawa kigezo muhimu

Utumishi wa umma unafanyakazi popote pale, unaweza pata first appointment mjini baadae ukahamishiwa mbwinde.
Suala la kukosa umeme linaenda kuwa historia, vimebaki vijiji elfu 2 kufikiwa na umeme, kwa mujibu wa CCM ! Mitano mingine kwa Magufuri..
 
Najiuliza kama ni kweli idadi ya nafasi zinazoonekana wakati unachoice mkoa/wilaya katika kila shule mbona hazifiki 13,000? Au hizo zingine watajazia wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…