Dirisha la kutuma maombi ya Ajira za Ualimu lafunguliwa rasmi. Vigezo vyawekwa wazi, namba ya NIDA yawa kigezo muhimu

Ajira zitatika kati ya 21/10/2020 hadi 27/10/2020.

Stay tuned.
 
Zitoke tu tujue tunafanyaje kabla ya uchaguzi aiseee ,mtaani pagumu sana.
 
Watatuelewa tr28
Mkuu hadi pesa za kujikimu zimeshatengwa, hivo basi muda wa maandalizi utakuwa mchache sana kwa wale wataochaguliwa.

Pia kutokana na shida ya ajira kene Oteas walioomba ajira si tu walimu, Bali
Waliosoma IT
MaEngeneer
WaKilimo
WaAfya
F6Leaver e.t.c

Maana mfumo bado unamakosa mengi, yoyote anaweza kuomba, maana pia sio gharama kuomba, ni suala la' bando' tu na 'App ya Camscaner'

Hivo basi, Jopo liko makini mnooo, kuondoa contradictions.
 
Kama pesa imetengwa na mchakato umeanza itakuwa vema tusubir tukae mkao wa kula
 
Ad wa kilimo wameomba na form six leaver ??
 
Mbona kuwekana roho juu juu wajameni! Tumwamini yupi sasa!
Tunaamin ajira zitatoka kabla ya uchaguz kuanzia 21st October to 27th October hyo wiki ya maajabu, jamaa alisistiza anaajiri waalimu 13,000 kuongeza nguvu juz alipopiga simu kufuta tangazo, aliloiita upumbavu lipuuzwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…