Dirisha la kutuma maombi ya Ajira za Ualimu lafunguliwa rasmi. Vigezo vyawekwa wazi, namba ya NIDA yawa kigezo muhimu

Acha utani mkuu, ajira za afya zimechukua mwezi mzima kutangaza walioajiriwa, na ukizingatia walikuwa wachache sana hawazidi 300, iweje ualimu wachukue wiki 3 ukizingatia ni wengi sana 13,000[emoji1787]
 
Haikufika mwezi, ajira waliomba kuanzia tar 22/08 hadi 31/08 na tar 23/09 wakaitwa kazini... Then, huo ni mtazamo wangu, kama una wa kwako tofauti share kama walivoshare wengine
Asante
 
Ndo ilivokuwa
 
Mungu ajalie tuchaguliwe tu maana mtaani sio kuzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…