Crownjunioral
Member
- May 8, 2016
- 47
- 16
Very impossible... Applicants ni wengi sana, hivo, kuna uwezekano mkubwa sana ukakuta ajira zimetoka, we haupo na hata rfk zako wa krb hawapo.Kabisa mkuu na ndicho nilichoshauri hapo juu ni baada ya vijana kuwa na hamu na matokeo ya ajira hizi ambazo zitakua kua na maumivu makali kwa vijana wengi.
Labda kama siasa itatumika wawaajiri wote walioomba na kitu ambacho hakiwezekani.
Nikwel kabsa aiseeh maana dah kama watu laki na ushee kwa ajira elfu 13 hakuna uwiano mzur! Tujiandae kisaikolojiaVery impossible... Applicants ni wengi sana, hivo, kuna uwezekano mkubwa sana ukakuta ajira zimetoka, we haupo na hata rfk zako wa krb hawapo.
Competition ni kubwa mno, kwa hesabu ndogo tu, uwiano wa waombaji na wanaohitajika yaweza kuwa hata 1:15... Kila nafasi moja ya ajira inagombaniwa na watu 15... Najaribu kuwaza kwa sautiNikwel kabsa aiseeh maana dah kama watu laki na ushee kwa ajira elfu 13 hakuna uwiano mzur! Tujiandae kisaikolojia
Nikwel kabsa aiseeh maana dah hatar sana! Bas watoe hzo ajira wenyew kupata na apateCompetition ni kubwa mno, kwa hesabu ndogo tu, uwiano wa waombaji na wanaohitajika yaweza kuwa hata 1:15... Kila nafasi moja ya ajira inagombaniwa na watu 15... Najaribu kuwaza kwa sauti
Watatoa tu. But no one knows ni lini...Nikwel kabsa aiseeh maana dah hatar sana! Bas watoe hzo ajira wenyew kupata na apate
Very impossible... Applicants ni wengi sana, hivo, kuna uwezekano mkubwa sana ukakuta ajira zimetoka, we haupo na hata rfk zako wa krb hawapo.
For sure... Let's keep waitingNdivo ilivyo, mfano kwa tuliomaliza 2015 tumeshaomba km mara tatu kwa namna hiihii, yn mara zote unakosa na hkna hata rafk ako wala uliyemaliza nae unayesikia kapata ndivyo hali ilivyo hatuna jinsi nikupokea na kusonga mbele kikubwa uzima.
Sawa Mh. Jafo😊😊😊Msiwe na wasiwasi kesho mzigo unatoka
Kesho tena etMsiwe na wasiwasi kesho mzigo unatoka
Ndo alivoandika🙄🙄🙄Kesho tena et
daaah hizi ajira Basi tuNdo alivoandika🙄🙄🙄
Duuh!mkuu Mara tatu na bado unakosa...hakika inakatisha tamaa sana kwakweli....je sie tuonaoanza kuomba sasahivi itakuwaje?Ndivo ilivyo, mfano kwa tuliomaliza 2015 tumeshaomba km mara tatu kwa namna hiihii, yn mara zote unakosa na hkna hata rafk ako wala uliyemaliza nae unayesikia kapata ndivyo hali ilivyo hatuna jinsi nikupokea na kusonga mbele kikubwa uzima.
Tunasubir mkuuMsiwe na wasiwasi kesho mzigo unatoka
daaaah tamisemi kama tamisemiTunasubir mkuu
Uwe na imani Mkuu.Tunasubir mkuu
Kesho uliyosema jana si ndio leo? Mbona bila bilaUwe na imani Mkuu.
😂😂😂Kesho uliyosema jana si ndio leo? Mbona bila bila
Alafu usipochaguliwa unailaumu serikali .Kesho uliyosema jana si ndio leo? Mbona bila bila
Hyo mbona wengi tumefanya hvo m niliacha kozi ya afya miaka minne nkasoma ualimu mitatu ila mara zote tatu naomba nakosaDuuh!mkuu Mara tatu na bado unakosa...hakika inakatisha tamaa sana kwakweli....je sie tuonaoanza kuomba sasahivi itakuwaje?