Dirisha la kwanza la maombi ya kujiunga na Chuo kikuu cha Dodoma (UDOM) kwa mwaka wa masomo 2026/2027 limefunguliwa rasmi

University of Dodoma (UDOM)

Public Institution
Joined
Feb 24, 2024
Posts
50
Reaction score
55
​

Je, uko tayari kuwekeza katika mustakabali wako? Hii ndiyo fursa yako ya kujiunga na Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), moja ya vyuo vikuu vikubwa na vinavyoongoza nchini Tanzania katika utoaji wa elimu bora, utafiti na ubunifu.

UDOM inakukaribisha kutuma maombi ya kujiunga na programu mbalimbali za Stashahada, Shahada za Kwanza, Shahada za Uzamili na Uzamivu zinazotolewa katika fani mbalimbali zinazokidhi mahitaji ya soko la ajira la sasa na la baadaye.

πŸ“… Mwisho wa kutuma maombi ya Raundi ya Kwanza ni tarehe 10 Agosti, 2026.

πŸ–₯️ Omba sasa kupitia Mfumo wa Udahili wa UDOM:
https://application.udom.ac.tz

🌐 Kwa maelezo zaidi kuhusu programu zinazotolewa:
https://www.udom.ac.tz

πŸ“ž Wasiliana nasi kwa msaada wa udahili:
+255 752 550 837
+255 752 994 657
+255 752 811 050
+255 734 986 490
+255 734 986 486

πŸŽ“ UDOM – Transform Your Future.
"UDOM Embracing Knowledge"
 
Kila la heri kwa waombaji. Najua kwa Udom, accommodation kwa wanachuo ni uhakika kwa 100%. Kwa sisi tuliowahi kupita Udsm hatutasahau mateso tuliyopitia kwenye kubebana pale Mabibo hostel.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…