Wazungu au niseme watu wa nyanda za juu, wenye matawi yani pesa kibao....hizo 4 letter wanazikabili hivi,
Dust, wanatumia vacuum cleaner na air filters kwa ajili ya air inlet ya nyumba kutrap dust!
Wash, wanatumia mashine za kufulia na dish washers
Iron, wanatumia iron press ambayo inanyoosha mara moja kila upande ama pasi za maji.
Cook, wanatumia gas, coffee makers, bread makers na mi microwaves......n.k
Hivyo vinafanya kazi ziwe rahisi na kama ndio mwenzangu na mimi ni full kuni,kufuta vumbi na vitambaa vya maji, kufua na sabuni za vipande na pasi za mkaa....basi....mke atakomaaa!!!🙂