toghocho JF-Expert Member Joined Mar 16, 2011 Posts 1,172 Reaction score 198 May 21, 2011 #1 kwa wale wadau waliowahi kuhudhuria madisko vumbi especially vijijini, mziki wa panasonic au sony uliounganishwa na kipaza sauti je! ni nyimbo gani nzuri mnazokumbuka ambazo zilikuwa zikipga unakuwa hoi ndani ya vumbi. mambo ya kwaito, bolingo
kwa wale wadau waliowahi kuhudhuria madisko vumbi especially vijijini, mziki wa panasonic au sony uliounganishwa na kipaza sauti je! ni nyimbo gani nzuri mnazokumbuka ambazo zilikuwa zikipga unakuwa hoi ndani ya vumbi. mambo ya kwaito, bolingo
22nd JF-Expert Member Joined Aug 1, 2010 Posts 494 Reaction score 137 May 21, 2011 #2 nilikuwa bado navaa nepi na pia sijakulia kijijini but kuna some moment I regret to miss. anyway huwezi pata vyote but hope u enjoyed guys
nilikuwa bado navaa nepi na pia sijakulia kijijini but kuna some moment I regret to miss. anyway huwezi pata vyote but hope u enjoyed guys