Discontinue chuoni


hivi ukidisco mwaka wa mwisho unapewa trancsript?
 
Yah!Nakuunga mkono mtoa hoja!Vyuo vingi vya nje hasa Asia wanatoa certificate of attendance kwa wale ambao walimaliza muda wote wa degree husika lakini hawakuqualify kupata hiyo degree!So hata bongo wakiiadopt hii itasaidia kwa kweli,haileti maana mtu kadisco semester ya mwisho then unamwambia aanze upya!!
 
It is fair, legal and ethical. You have not fulfilled the requirements. Go back to square one.
 
Concept nzima ya disco inaonyesha udhaifu katika uendeshaji wa vyuo vyetu. Mtu apite kote huko na ku disco chuo kikuu? tena mwaka wa mwisho?

Sie bado tuna ile dhana batili ya kwamba "mitihani migumu na wanafunzi kufeli ndiyo matokeo ya elimu bora" wakati ukweli ni kwamba wanafunzi kufeli kunaonyesha kushindwa kwa mfumo wa elimu.
 

Hata mimi nashangaa, labda kama kabadilisha tabia na life style yaani kaanza anasa za dunia.
 

dah! Kweli njiwa, unakuta mitihani migumu wakati class wanapiga bla bla tu. . Vyuo vyetu full kukomoana.
 
Nendeni mkassome vyuo vya ufundi kama DIT NA MIST, huko ndiko wanahicho unachokitaka. Ukianzisha huo mtindo watu hawatakuwa serious
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…